Bianca Catering Serivces: Official Launching July 2012

Keki ya Ufunguzi wa BCS - Imetengenezwa pia na BCS
Happy, Francisca na Christina - MD wa WONDERLAND (Its a Kids World)
Happy Okore - Managing  Partner & Francisca Shayo - Managing Director (BCS)

Caroline Kiliba Managing Director - VIVID CREATIONS wataalam wa kutengeneza Kadi za mualiko

Highness Kassase - Marketing Manager - BCS

DR's Wadau

Wadau

Mr & Mrs. Harverkamp na Urioz
Mishi, Aunt Cosmaya,James na Mdau

Wadau

WAGENI RASMI - Mr & Mrs. Kalima + Mdau

Bi. Harusi Mtarajiwa - Kila la kheri
Dada wa Bi. Harusi Mtarajiwa

Wadau
Maandalizi ya Chakula - BCS

Mercy Mchechu & Mr. Mndolwa wakipata Starter
Friends - Wadau
Rehema Makupa - Shukurani za dhati ziwafikie GRM kwa picha zote hizi

Keki - Mama Assosa, Happy, Aunt Cosmaya

Mr. Nchinga & Mama Goshashy II

Maakuli - Ya ukwe.. eeee - Vilinogaje??? Yummy yummy

Herry Nasser
Mdau
Amanda, Frank, & Dave Goshashy Rais wa Sinza Mutu ya Kilo....lol

Agnes & Rafiki

Kujisevia Mwanzo....Mwisho....
Sundi Ndosi - ADEPTO Insurance Agency

Elle Gibbons
Sia & Anita Goshashy Safiii

TEMBA - Mkurugenzi MAC Temba Investment

Mrs. Temba miaka mia nane

Neema
Zena Tenga - Business Advisor BCS

Belinda Goshashy

ML - Aunt Kenzie

Chaya & Mdau
Saada Ngoshani wa MIMI'S COLLECTION

Fatma Kilinda & Friend

Edward Nyange, Mdau & Max

WONDERLAND (Its a Kids World) - Michezo ya watoto ilikua ni mingi na watoto wali enjoy ipasavyo:- unahitaji huduma za michezo hii kwenye shuguli za watoto wapigie 0767 200055, 0767 434729






Yesuuu sijawahi kuona hii hata kule kwetu hakuna mamayangu - Dogo Finlay kapagawa na Wonderland

Mishi wa M&J VIRGO & Mama Goshashy I

Mr & Mrs Peter Nyanda

Mdau

Mama Kapinga


OUR MOTTO:  FOR FRESH & DELICIOUS FOOD:  Shuguli hii ilifana sana kwakweli ni jambo la kumshukuru Mungu kwa kutimiza ndoto hii, tunawashukuru sana wote mlioudhuria na ambao hamkuweza kufika Asanteni sana....
Tunapika kwenye Shuguli zote kama Harusi, Sendoff, Kitchen Party, Mikutano, Kipaimara nakadhalika...
Pia tuna Menu zenye bei na function tofauti tofauti kama BBQ, Kitchen Part, Futari, Birthdays especially za watoto....
Kupata Menu na Bei tafadhali Click Catering Services hapo juu au Piga simu 0715 463022, 0752 896267

                       KARIBUNI SANAAA...... BIEN VENU.....UR WELCOME....
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...