Miss EAST AFRICA - Washiriki ndio hawa

Kesho ndio kesho... Mtoko ni Miss East Africa Mlimani city, unaambiwa washiriki wana mvuto kama Sumaku upo??? Binafsi nimekutana nao ana kwa ana sio mchezoo.... Hapana Chezea...

Washiriki  kutoka nchi mbare mbare Hapa, Tanzania, kule Uganda, Burundi, Ethiopia, Rwanda, Southern Sudan, Eritrea, Kenya, Somalia, Djibouti, Reunion, Malawi, Madagascar, Comoros, Seychelles, Mauritius

Tuonje kiduchuu....


















 

There she is.... Miss Universe 2012 - OLIVIA CULPO (USA)







Miss Universe 2012 - Topten national costumes

Ki ukweli kabisa hapa watu wamekaa chini na kufanya vitu vinavyoeleweka, kazi zao ni nzuri sanaaa na zinaendana na utamaduni wao,  Nguo nyingi hapa ukiiona tu unajua huyu wa wapi...kama Miss China... Wabunifu mpo??  Kazi kwenu....

No. 1 Brazil - Gabriela Markus


No. 2 China - Ji Dan Xu


No. 3 Panama - Stephanie Vender Werf


No. 4 USA - Oliva Culpo


No. 5 Colombia - Daniella Alvarez


No. 6 Sri Lanka - Sabrina Herft


No. 7 Curacao - Monifa Jansen


No. 8 Vietnam - Diem Huong Luu


No. 9 Bolivia Yessica Mouton


No 10 Mexico - Karina Gonzalez

Kwetu pazurii - Such a look..., mshono je?


Vitupio in Style


Pata muonekano wa Solange afro look ndani ya Bianca salon - Tupigie kwa booking yako 0715 463022 "Nywele pamoja na Kusuka 120,000/=) Zinapatikana Color 1,2,133 na Blond

ZIKIWA ZIMECHAMBULIWA



HAPA ZIMEBANWA KUEPUKA USUMBUFU WA HAPA NA PALE NA JOTO HILI....Lol





Beyonce - Huo mchanganyiko wa hair style babkubwa...



Naaaaam, Na ufunguzi ulikuwa kama ifuatavyo..... Enjoy!!

Duka:   Mimiz Collection
Owner:  Sada Ngoshani
Drinks:  Blind Tiger
Chakula:  Bianca Catering Services
Makeup & Hair:  Bianca Salon
Event planner: Khadija Mwanamboka
Pictures:  'Khamis' kwa hisani kubwa ya Zeze 8020fashions






Owner - Mimiz Collection - Sada Ngoshani















Blind Tiger walisababisha - Drinks








Bianca Catering Services 0715 463 022



































Dada alizawadiwa kitita kwa shukuruni za kuwa mwaminifu na kufanya kazi kwa muda wa mrefu na Mimiz Collection

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...