SAG - Screen Actors Guild Awards

Kiukweli Nguo kama hizi na Matukio kama haya hayahitaji Ujikwatue sanaaa..... The dress itself has enough Details 'Inajieleza baby' Ukiangalia hapa wengi wana Makeup + Hairstyles simple lakini wamependeza mnooo, pia kwenye vitupio kama Vipochi, Hereni na Mikufu kweli vinaendana na nguo na sio lazima pia kuvivaa





Rangi yake ya nywele mie hoiiii


































The dress is to Kill


OOOOOO MG!! Lady in Red "Amiziiiiing" Ameitendea haki 'Mia Mia'

Una Maswali mengi kwani we ni POLISI??

Solange,solange,solange...umeniangusha puuuuu mpk chini..... Fashion police wakikushika moja kwa moja Jela...Kha!!


Rita Ora

Ku-Look sexy sio lazima uvae nguo ya kukubana, fupi au mpasuo mpaka... Angalia muonekano huu na jinsi alivyopendeza, inakujengea pia confidence na heshima kubwa ndani yake... Go gal...


First lady Michelle Obama 49th Birthday - New Hairstyle

Sweet or Sour?


Fishtail Braid ndo habari ya Mujini







 















Instastyle - Ciara

Mchanganyiko wa rangi ya nywele zake mie Hoiiiii


Aaaaawwwww her nails... I want!!




Kiofisi zaidi


Sasa je? chini hapo naona raba mtoni, sasa sijui boss atakuruhusu? au ndo katoka ofisini anatembea mdogo mdogo mpk home?  au anaelekea Gym?





Full Mnyama - Hair style imenibamba


Rihanna for Complex Magazine Feb/Mar. 2013




Vitupio in style



InstaStyle - Beyonce's Instagram Stella McCartney Gold Sequin Lame Trousers, White Oversized Tee, Black Boyfriend Blazer, and J. Crew Everly Cap toe Glitter Pumps


Cheki kata hiyo, kumbuka imemtoa zaidi kwasababu ya mchanganyiko wa rangi ya nywele







Black & White in Style..


Adrienne Bailon Love her makeup!!


 Jessica Alba - Draft imemtoaje?


Nigerian Wedding

Shughuli zote zimependeza, Bibi harusi mzuri Mashallah, Mavazi yamemkubali, Mapambo na Keki ni Big respect....Waukweli mpo?






















 

































Ukweli mtupuuu....full vipepeo




Yesu namala




Entrance baby!!  Macho kodooo....











Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...