Lydia's Wedding day- Makeup & Hair by Bianca salon


MKe wa Mwalimu Lydia, mashavuni vimebonyea kama... Wow cute you!! Congratulations
















Purple hair

Rangi za nywele jamani, upo?? Nakumbuka enzi za Purple siku hizi hata kwenye Salon ukiulizia hupati, haya tusikilizie labla itarudi


YEBOYEBO ya upande by Bianca salon

Inapendeza sana na inasukwa kwa umaridadi sana kwa muonekano wa usafi zaidi, na kama kawaida yake kitu kinadumu wiki mbili mpaka tatu au zaidi inategemea ustaarabu wako, Karibu Bianca Salon


Hair style & Accessories by Bianca Salon


Looks I Love: Moroccan Ladies



Mwanamke kucha













Lucy's Send off Party - Makeup&Hair by Bianca Salon

Kwa mara nyingine tena tunakuletea Lucy na siku yake ya Sendoff, Lucy ni mzuri na alipendeza sana, angalia hairstyle yake na makeup, Nguo yake ilikua ilikuwa nzuri sana kila mtu aliipenda, bado tuko nae mpaka harusi, Coming soon!!















 










 



First lady - Michelle Obama

Nguo yake ni ya kukata na shoka, sio kila first lady anapendeza ni wachache wanaojipatia, ila huyu anapenda Fashion na nguo zinamtoa...

,


Hapa na pale


Nimeguswa na mchanganyiko wa rangi, zote zina shine na zimeleta mvuto flani hivi... Cuuuute!!



Robynice @ Nyendoz Kitchen Party - Makeup&Hair Bianca salon




Swagger kitaani... Wenzetu wa Mikoa ya Baridi Unatupia kijisweta








Dat Hair

Nywele hii hamkatai mtu uwe mwembamba uwe mnene, kama hujawahi kuisuka embu ijaribu na uone itakavyokutoa


Preg. in style... Kim K




Swaggher za Kitaa... Safiii




Doris's Wedding day... Makeup&Hair @Bianca salon

Beautiful you...  Kwa mara ya kwaza nimekutana nae siku yake ya harusi, kumbe ni rafiki wa dada yangu, akafurahi kunijua nami pia, Doris ni Mrembo... Umebarikiwa una macho macho mazuri, Mstaarabu, I like your smile, Stay blessed... Tunakutakia kila la Kheri mpenzi











YEBO YEBO @ Bianca salon

Hii ndio Yeboyebo yenyewe ambapo hapa imesukwa kimtindo wa Mkia wa farasi, yaani nywele zoote zinakutana katikati, Bei ni 30,000 mpaka 40,000 Kuosha na Rasta kwetu.  Karibuni sana



CL - Ukweli mtupu



Vitupio- Green & Blue safiii...




YEBO FASTA @ Bianca salon

Msuko huu naambiwa unaitwa YEBO FASTA nkauliza kwanini, nikaambiwa hazichukui muda mrefu kusuka na ni Msuko wa kubinjua na unaacha nafasi katikati ya mistari, Nimejionea mwenyewe zinapendeza sana... Karibuni Bianca salon, bei ni kuanzia 20,000 mpaka 30,000 kuosha na rasta kwetu.









Kucha za ukweli, wa-Ukweli mpo??


 







Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...