About Bianca

**BIANCA SALON:-

SALON:
Kusuka, Make-up, Relaxer, Steaming, kubana nywele au weaving, Flat Iron, Curling, Kushonea weaving, Kuuza weaving , Brazillian hair zinapatikana, Kunyoa nyusi na uzi au wembe na mengineyo

SPA:
Facial, Massage, Body scrub, Manicure & Pedicure, Kubandika kucha aina zote.

BRIDAL CARE:
Tunatoa huduma mbalimbali za Urembo kama:-  Kupamba maharusi (Makeup & Hairstyle)
Kuuza nguo na Accessories za Maharusi

**BIANCA CATERING SERVICES:-
Tunatoa huduma za kupika vyakula mbali mbali, Keki na Vinywaji
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...