Finally...Victoria's Wedding day - Makeup, Hair, Bouquet & Accesories by Bianca salon

 
      Kikazi zaidi, usinitafute....nikoje busy???


                             Maid of Honor

    Bi. Harusi mwenyewe sasa....Vicky ulitokeaje?























Muaaaaaahs.... Safiiii




  
    Ngazi saba umeiona?? Nimependa sana idea ya hayo maua... Nimekumbukia harusi yangu, wapi Nacky...


 
    Goshy, Goshashy... Rais wa kwanza Sinza....Chezeiya...

Nikikumbuka siku ya kwanza nilipokutana na Vicky huwa nacheka pekeyangu, alikuwa na wasiwasi na jinsi atakavyotokea, ila nikamtoa wasiwasi na kumueleza kwamba atapendeza, kwa kweli ilinichukua mda sana kumuelezea Package zetu na kadhalika....mpaka alipokuja siku ya kwanza salon alikuwa bado hana amani, na alikuwa na shuguli tatu ambayo ni K-Party, Send-off na Harusi, toka tulivyompamba siku ya kwanza alipenda na akawa na amani na mwenye furaha isiyo ya kifani, na sasa ni mdau mkubwa sana Bianca salon
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...