Goat races 2012 - Kulikuwa na Fashion za kila aina, Enjoy....

The main Entrance


Ndani walikokuwa wanakaa Sponsors - Kula kunywa bureeeeee
Entrance - Sponsors & VIP only

Mashindano yenyewe ya Mbuzi ndo haya.... Yakiendelea....

Azam walikuwepo pia .....waliuzaje sasa?

Kanyela mumo

Nywele za BLUE umeziona? Jaribu wewe sasa...

Mr&Mrs
Huku mambo ni MOTOOOOOO - Dada kashikwa na butwaaa

NEON je? Kitambaa kinapatikana mitaa ya kati

Karata

Ni sasita mchana mtu kashawaka - Starehe jipe mwenyewe

Unachorwa hina kwa buku lako tu - Safiii

Wapi Paris Hilton?? Wanafunzi wa HOPAC walikuja na huyo ndugu aliopewa jina na KIM

Kuna kijana alikua anauza ndugu mwingine kwa bei ya laki4 na nusu, Chagua moja Mbwa au Blackberry?? kumbuka hali dagaa... tumbo litamsokota hatare, chakula chake Supermarket sio Mabibo... anahitaji kumuona Dr kila mara na anaogea Shower gel

Angel
Friends - Pamoja Darasa moja Sekondari wapi da Gjigji?

Full Bata

Kulikuwa na groups tofauti tofauti za mashindano ya mavazi na mshindi alipatikana

Hawa ndo washindi wa siku hiyo kwenye upande wa mavazi- Walipata zawadi pia

Peace & Love

Fulu Makosheo
Ma!  Bianca

Niipenda sana hiyo nguo - alipendeza pia

Uzee mwisho Chalinze
Sina usemi

Hapo sasa? Bling blig hapa mpaka Migodini bila hodi

Fundi wala hajakosea ndo mshono uliohitajika - Mkia
Somo lilieleweka

Chezea mtutu? Fanya fujo uone... Tisha toto.... ndani ya Diesel Industry Jeans



Kwakweli shuguli hii ilifana sanaa ilifanyika The Green Oysterbay ilikuwa inaanza sa6 mchana lakini mida hiyo tayari kulikuwa na watu wa kutosha na watu walikuwa wameshapendeza, ilipofika muda wa kuondoka watu bado wamejaa.... ilikuwa ianzae saa6 mchana mpaka sa12 na nusu jioni, Shuguli hii huwa inafanyika mara moja tu kwa mwaka, Kiingilio kilikuwa ni 5,000 only na kwa mtoto chini ya miaka mitatu Buree,  kulikuwa na Michezo mbalimbali, Wauza vinywaji na Chakula walikuwa na punguzo la bei, Mabanda ya kuuza nguo na vitu vya Asili, Ngomangoma walitumbuiza, wakubwa kwa watoto kila mtu ali-enjoy kwa nafasi yake, kama umekosa mwaka huu, mwaka kesho jitahidi usikose. 

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...