Bianca Salon, Spa & Bridals Care

Pages

  • Home
  • About Bianca
  • Bridal Care
  • Catering
  • Fashions
  • Contact

Nigerian Wedding - Classy

Kwenye harusi hii nimejifunza kitu kimoja, harusi iko simple watu wamependeza, na inavutia, kujaza makorokoro haimaanishi ndio harusi itapendeza, jionee mwenyewe kuanzia bi. harusi, Maids ambao walikua na nguo moja, rangi 3 totauti, wamependezaa.... nimewapenda ukilinganisha na kwa sasa Makanisani wanataka nguo za heshima, hamuangaiki na mitandio ambayo mara nyingi inawaharibia picha... Enjoy


Una Harusi hivi karibuni na umependa Bouquet hili Bianca salon tutakutengenezea kama linavyonekana... Call us on 0715 463022

    Viti hivi sijaviona Bongo, wadau mpo?? kama umeviona tuambizane

                             Kama ya uongo vile?

                             Kama hujui kusoma, hata picha pia?? ni Valentino baby....lol

                         The Bride





    Umeona nguo ya Maid of Honor?









    The boys - Swaggher


Posted by biancassalon at 12:57 AM
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest
Labels: Bridal Care
Newer Post Older Post Home
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Blogs:

  • JADORE-FASHION
  • M.P
  • MASHUGHULI BLOG
  • Grm Production
  • NURU the light
  • Hassan Maajar Trust
  • CULINARY CHAMBER Tanzanian Executive Chef Issa Kapande
  • Total Knockout!!
  • Sheria Na Mavazi!
  • Gyver La Trend
  • 8020 fashions.4 ur fashions & Lifestyle.
  • Sintah.Com
  • Kiki's Fashion
  • THE SPORAH SHOW.
  • .
  • Lady Jay Dee
  • Vanity Butterfly
  • Ladies Stuff Zone
  • Home

Blog Archive

  • May (21)
  • April (20)
  • March (8)
  • February (10)
  • January (21)
  • December (14)
  • November (32)
  • October (44)
  • September (68)
  • August (22)
  • July (10)

Habari

  • MICHUZI
  • Millard Ayo – Official Website
  • TEMBELEA JIJI LA DAR ES SALAAM KWA PICHA
All rights reserved by Bianca Salon; Blog customized by Kile Makule 0654 088 500. Powered by Blogger.