Kiukweli Nguo kama hizi na Matukio kama haya hayahitaji Ujikwatue sanaaa..... The dress itself has enough Details 'Inajieleza baby' Ukiangalia hapa wengi wana Makeup + Hairstyles simple lakini wamependeza mnooo, pia kwenye vitupio kama Vipochi, Hereni na Mikufu kweli vinaendana na nguo na sio lazima pia kuvivaa
 |
Rangi yake ya nywele mie hoiiii |
 |
The dress is to Kill |
 |
OOOOOO MG!! Lady in Red "Amiziiiiing" Ameitendea haki 'Mia Mia' |