Purple hair
Rangi za nywele jamani, upo?? Nakumbuka enzi za Purple siku hizi hata kwenye Salon ukiulizia hupati, haya tusikilizie labla itarudi
YEBOYEBO ya upande by Bianca salon
Inapendeza sana na inasukwa kwa umaridadi sana kwa muonekano wa usafi zaidi, na kama kawaida yake kitu kinadumu wiki mbili mpaka tatu au zaidi inategemea ustaarabu wako, Karibu Bianca Salon
Lucy's Send off Party - Makeup&Hair by Bianca Salon
Kwa mara nyingine tena tunakuletea Lucy na siku yake ya Sendoff, Lucy ni mzuri na alipendeza sana, angalia hairstyle yake na makeup, Nguo yake ilikua ilikuwa nzuri sana kila mtu aliipenda, bado tuko nae mpaka harusi, Coming soon!!
Subscribe to:
Posts (Atom)