SOMA ALAMA ZA NYAKATI - Chipukizi, Mapanki mmeyaona?? Usitoke kwa kinyozi mpaka kieleweke







Fashion, Fashion, Fashion...Safiii












KWETU PAZURI - Get the look @ Kiki's Fashion

  I am so proud of you Kiki, hii ni kareee, kwanza unajua kuchagua Vitenge kwa rangi na michoro, pili unajua kuvipangilia kwenye Mikato na Maua yake, pia Vipimo vya mteja unavipatia, mimi nakukubali 100% .....Go gal....

 







Makeup look of the day...."She has an Amazing skin complection"






Umeona kitambaa na mshono?? ma Maids mpo??



Vitupio in Style


KIPENDA ROHO: Kim Kardashina with Black & White colors for life

Dada huyu anazipenda rangi hizi mbili sijawahi kuona.... hakika anapendeza maana mpaka harusi yake ilikuwa Black & White, nimemfuatilia kwa mda mrefu sana na nimegundua mpaka sasahivi mtu mzima Kanye naye ana Match na Baby, upo??  Enjoy.....


































































Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...