Leg and foot scrub after Waxing (Scrub ya Miguu na unyayo baada ya Wax)
















Leg and foot scrub after Waxing (Scrub ya Miguu na unyayo baada  ya Wax)
Kwa wale wanao wax miguu au hata mikono, hii scrub ni nzuri kupaka baada ya wax. Inasaidia kufanya ngozi kuwa laini na relax ngozi baada ya moto wa wax.
Mahitaji:

  • Machicha ya nazi ½ kikombe
  • Sukari ya brown ¼ kikombe
  • Limau au ndimu vijiko Vidogo 3
  • Kijoko 1 kikubwa coconut oil au almond oil
Kwenye kibakuli changanya kila kitu pamoja.
Baada ya wax au shave paka scrub kwenye miguu hadi unyayo na sugua vizuri kwa dakika 5 hadi 10. Baada osha na sabuni yako ya kila siku. Halafu paka mafuta ya nazi, olive au yoyote.

Get de Swag ON!!! Prints on nails??? Yebo















Ukiingia hivi White party utafunikaje?? Dat shoe....Ooooh lalalaaaah



Bey for H&M Summer collection 2013.... Baaaang!!



Hot Hair



Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...