Kwetu Pazuri - Braid Hairstyles













Kwa wadada wanaopenda kusuka haya sasa tumeanza kuwaletea misuko na ubanaji wake wa aina mbalimbali kama vile nywele za Afro kiki, Rasta za kawaida, Rasta za kujisokota, Natural hair, Yebo weaving nakadhalika, next time nitawaletea misuko iliyosukwa hapahapa bongo kwa kutumia rasta zinazopatikana masokoni. 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...