Una maswali mengi kwani we ni POLISI??

Ooooh kaja sangapi? Kafata nini?? Mbona nguo ina rangi nyingi, ye mweuzi kavaa nguo zimemzima, na hizo ni Stockings?? sasa hapo iyo Blazer ya nini? na kilemba juu....du kawa kama.... Inahu?? Fashion bibi... Designer kamumiza kichwa tena kwa mda mrefu tu...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...