Nigerian Wedding - White & blue, nimeipendaje sasa? Wapi Kim K Hair style..

 
Keki ni nzuri sanaa jamani
 





D...DBanj



    Nikwambia kaka anapenda kuhudhuria harusi za kinaija utanibishia? Ila hata hapa wapo...lol


Harusi hii imenibambaaa, kuanzia bi. harusi, bw. harusi, waalikwa wanaume ndo wana swaggher za hatare... wasichana pia wamenoga sanaa
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...