RICK ROSS ndio Habari ya Mujini....Live Mjengoni.....Ni ndani ya Fiesta October 06th, 2012. "BHAAAAAASI"... Kaka yuko juu saana kimauzo ya mziki kwa sasa, na kumleta sio kazi ndogo, nawapongeza sana Clouds, maana mmekua mkitutoa sana matongo tongo mjini hapa

Intertainment
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...