Nafikiri Fundi Kaoneka pia anaweza kudarizi.... lol |
Here comes a bride |
Vurugu hizi alizobeba huyo mtoto zinapatikana Bianca salon - Kikapu cha maua na mto wa kubebea pete @ 25,000 only |
uuuuuuuu la laah |
Sasa kikofia kimekunjwa |
Rangi hizo....watarajiwa.... |
Unanitega?? Kama umependa Bouquet suluhisho ni Bianca salon |
Yeah he's mine |
Hapo lazima uwe unanukia pia |
Uwe wangu wa milele |
Bidada si akabadilisha nguo?? katokeaje sasa? |
Muda wa makashikashi umepitwa na wakati.... Simple lakini motooo |
Keki balaa |
Normarrr |
Kaka anahudhuria harusi za Nigeria huyu.... nampongeza |
Muda muafaka |
Nimegundua kitu kimoja sio lazima utumie pesa nyingi sana kwenye harusi ila mpangilio unaweza kuifanya mzima siku yako ikawa nzuri na kumbumbu isiyosahaulika, nikiangalia kwenye mapambo hayo sioni Palms wala vimweku mweku kwa nyuma, ukiwa unaolewa au wewe ndio mshauri mkuu kwenye harusi hiyo zingatia yafuatayo:
Mapambo: ya Ukumbini na Kanisani (kama ni mkristo)
Mavazi: ya Bi. Harusi, Bw. Harusi, Wazazi, Wasimamizi, na Familia kwa ujumla
Mpiga picha: na pozi zenu kwa ujumla
Salon: zingatia muonekano usiokuja kukuchosha katika maisha yako maana kuna msemo usemao ndoa haijirudii
Chakula: ladha na mpangilio wa chakula ni kitu muhimu sanaa