Lemon Sugar Scrub for Hands, Feets & Elbows










Kidokezo cha leo:
                             Lemon Sugar Scrub for Hands, Feets & Elbows 
                              (Scrub ya Limao na Sukari ya miguu, mikono na kipepsi)

  • Limao (1)
  • Sukari (Vijiko 2 vikubwa)
  • Mafuta ya Nazi (Kijiko 1 kidogo)
Kamua Limao kisha weka kwenye chombo, changanya vitu vyote pamoja.
Tumia scrub kwenye mikono, miguu (unyayo), magoti na (kipepsi) sugua vizuri kwa dakika 10 au 20.
Baada ya hapo osha mikono au miguu yako kwa maji ya uvuguvugu na sabuni, halafu malizia kwa kupaka mafuta yako ya kila siku. Tunashauri pia mafuta ya Nazi au Olive Oil kwa wale wenye ngozi kavu saana, (Dry skin)

Kumbuka, hata kama vitu vyote hivi ni vya asilia (natural), tunakushauri kuepuka kupatwa na allergy, fanya test ya hii scrub, kwenye mkono au mguu, paka acha kama dakika 15 hadi 20, uone kwanza.  Hii ni kwa sababu kuna watu wana allergy na vitu asilia pia.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...