Nigerian Wedding - Beautiful Onyinye

 Harusi hii imependeza sanaa, haswa kwenye Traditional wedding, na swala zima la mavazi yao ambayo ni Indian theme, Nimeiangalia kwa umakini sana na kugundua kwamba ni muhimu kujipanga kabla ili kuweza kufurahia picha zako kila uzionapo baada ya harusi, maana mara nyingi kwa wachache walioolewa na waliokosea baadhi ya sehem sehem, huwa wanajutia kwanini isingekuwa hivi na vile, Basi hujachelewa kama yako imepita basi ya ndugu, jamaa au marariki inakuja, Imekuwa ni kawaida sana kwa bi harusi wa zamani kutamani harusi za kisasa kwani mambo yanabadilika kila siku.... Kuanzia Rangi, Urembo, Mavazi, Mapambo, Usafiri, Chakula, Burudani na kadhalika.  Ushauri wa bure "Tujipange"


 

























Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...