RICK ROSS ndio Habari ya Mujini....Live Mjengoni.....Ni ndani ya Fiesta October 06th, 2012. "BHAAAAAASI"... Kaka yuko juu saana kimauzo ya mziki kwa sasa, na kumleta sio kazi ndogo, nawapongeza sana Clouds, maana mmekua mkitutoa sana matongo tongo mjini hapa
KWETU PAZURI - Get the look @ Kiki's Fashion
I am so proud of you Kiki, hii ni kareee, kwanza unajua kuchagua Vitenge kwa rangi na michoro, pili unajua kuvipangilia kwenye Mikato na Maua yake, pia Vipimo vya mteja unavipatia, mimi nakukubali 100% .....Go gal....
KIPENDA ROHO: Kim Kardashina with Black & White colors for life
Subscribe to:
Posts (Atom)