Beyonce & Jay-Z 5th Wedding Anniversary in Havanna Cuba 4th April 2013

Naambiwa ilikuwa Anniversary yao ya miaka mitano ndani ya Cuba, wakiwa wameambatana Mama wazaa chema ambao kwenye picha hii wanaonekana nyuma yao, (Jay-Z kafanana na mama yake mnooo....)  Check muonekano wa Beyonce ndani ya Zebra print &  braids box na mbano wake, sunglasses, we-weee...




Nimependa mchanganyiko wa nguo zake za upande wa kuliaa... I want!!

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...