Purple hair
Rangi za nywele jamani, upo?? Nakumbuka enzi za Purple siku hizi hata kwenye Salon ukiulizia hupati, haya tusikilizie labla itarudi
YEBOYEBO ya upande by Bianca salon
Inapendeza sana na inasukwa kwa umaridadi sana kwa muonekano wa usafi zaidi, na kama kawaida yake kitu kinadumu wiki mbili mpaka tatu au zaidi inategemea ustaarabu wako, Karibu Bianca Salon
Lucy's Send off Party - Makeup&Hair by Bianca Salon
Kwa mara nyingine tena tunakuletea Lucy na siku yake ya Sendoff, Lucy ni mzuri na alipendeza sana, angalia hairstyle yake na makeup, Nguo yake ilikua ilikuwa nzuri sana kila mtu aliipenda, bado tuko nae mpaka harusi, Coming soon!!
First lady - Michelle Obama
Nguo yake ni ya kukata na shoka, sio kila first lady anapendeza ni wachache wanaojipatia, ila huyu anapenda Fashion na nguo zinamtoa...
Dat Hair
Nywele hii hamkatai mtu uwe mwembamba uwe mnene, kama hujawahi kuisuka embu ijaribu na uone itakavyokutoa
Doris's Wedding day... Makeup&Hair @Bianca salon
Beautiful you... Kwa mara ya kwaza nimekutana nae siku yake ya harusi, kumbe ni rafiki wa dada yangu, akafurahi kunijua nami pia, Doris ni Mrembo... Umebarikiwa una macho macho mazuri, Mstaarabu, I like your smile, Stay blessed... Tunakutakia kila la Kheri mpenzi
YEBO YEBO @ Bianca salon
Hii ndio Yeboyebo yenyewe ambapo hapa imesukwa kimtindo wa Mkia wa farasi, yaani nywele zoote zinakutana katikati, Bei ni 30,000 mpaka 40,000 Kuosha na Rasta kwetu. Karibuni sana
YEBO FASTA @ Bianca salon
Msuko huu naambiwa unaitwa YEBO FASTA nkauliza kwanini, nikaambiwa hazichukui muda mrefu kusuka na ni Msuko wa kubinjua na unaacha nafasi katikati ya mistari, Nimejionea mwenyewe zinapendeza sana... Karibuni Bianca salon, bei ni kuanzia 20,000 mpaka 30,000 kuosha na rasta kwetu.
Subscribe to:
Posts (Atom)