YEBO FASTA @ Bianca salon

Msuko huu naambiwa unaitwa YEBO FASTA nkauliza kwanini, nikaambiwa hazichukui muda mrefu kusuka na ni Msuko wa kubinjua na unaacha nafasi katikati ya mistari, Nimejionea mwenyewe zinapendeza sana... Karibuni Bianca salon, bei ni kuanzia 20,000 mpaka 30,000 kuosha na rasta kwetu.









Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...