Lucy's Kitchen Party - Makeup & Hair by Bianca Salon

Siku ya kwanza Lucy alipokuja kufanya booking ya shuguli zake alikuwa na wasiwasi na akasema kuwa yeye hajajizoea na Makeup kabisa na huwa anapendelea kuwa Natural, Pia alikuja na nywele fupi kabisa akaomba tumsuke Pick&Drop kama unavyoziona na tulichofanya ni kumuondoa wasiwasi na kumwambia awe na Amani kwani tutafanya kile atakachopenda yeye na kuondoka ameridhika, Hii ni Kitchen party yake, tutawaletea picha za SendOff na Harusi...









Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...