I want..
Waukwe-ee.. mpo?? umeiona bling ilivyomwagikia hapo kifuani?? Wallah!! imenoga na mtu yeyote hakivaa vazi hili lazima atokee na utakua juu sana
Beyonce & Jay-Z 5th Wedding Anniversary in Havanna Cuba 4th April 2013
Naambiwa ilikuwa Anniversary yao ya miaka mitano ndani ya Cuba, wakiwa wameambatana Mama wazaa chema ambao kwenye picha hii wanaonekana nyuma yao, (Jay-Z kafanana na mama yake mnooo....) Check muonekano wa Beyonce ndani ya Zebra print & braids box na mbano wake, sunglasses, we-weee...
Nimependa mchanganyiko wa nguo zake za upande wa kuliaa... I want!! |
Leg and foot scrub after Waxing (Scrub ya Miguu na unyayo baada ya Wax)
Leg and foot scrub after Waxing (Scrub ya
Miguu na unyayo baada ya Wax)
Kwa wale wanao wax miguu au hata mikono,
hii scrub ni nzuri kupaka baada ya wax. Inasaidia kufanya ngozi kuwa laini na
relax ngozi baada ya moto wa wax.
Mahitaji:
- Machicha ya nazi ½ kikombe
- Sukari ya brown ¼ kikombe
- Limau au ndimu vijiko Vidogo 3
- Kijoko 1 kikubwa coconut oil au almond oil
Kwenye kibakuli changanya kila kitu pamoja.
Baada ya wax au shave paka scrub kwenye
miguu hadi unyayo na sugua vizuri kwa dakika 5 hadi 10. Baada osha na sabuni
yako ya kila siku. Halafu paka mafuta ya nazi, olive au yoyote.
Subscribe to:
Posts (Atom)